Ee Bwana Nitakutukuza

Ee Bwana Nitakutukuza
Performed by-
CategoryZaburi
Views3,198

Ee Bwana Nitakutukuza Lyrics

  1. Ee Bwana nitakutukuza mimi
    nitakutukuza Bwana wangu
    {Nitakutukuza Bwana } *2 kwa maana,
    kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha
    adui adui zangu {Juu yangu} * 5

  2. Umeniinua nafsi yangu kutoka kuzimu
    Umeniuhuisha na kunitoa mwao washukao shimoni
  3. Mwimbieni Bwana zaburi enyi watauwa
    Na kufanya shukurani kwake kumbukumbu la utakatifu
  4. Usikie Bwana Bwana wangu na kunirehemu
    Pia uwe msaidizi wangu nitakushukuru Bwana