Ee Bwana Sistahili
Ee Bwana Sistahili Lyrics
EE BWANA SISTAHILI
{ Ee Bwana, sistahili
Sistahili ee Bwana uje moyoni mwangu } * 2
{ Lakini sema neno Bwana sema neno
(neno tu)
Nami nitajongea mbele kwa karamu } *2
- Karamu ya Bwana yatupa uzima
Ni mwili wa Bwana na damu yake
- Hiki ni chakula kutoka Mbinguni
Bwana atuita kutushibisha
- Huu mwili wangu hii damu yangu
Njooni kwangu nami nitawalisha
- Siku zote Bwana atulisha sisi
Kwa chakula bora kutoka Mbinguni
- Atukuzwe Baba atukuzwe Mwana
Atukuzwe Roho Mtakatifu daima yote