Ee Bwana Uturekebishe
| Ee Bwana Uturekebishe | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 3,004 |
Ee Bwana Uturekebishe Lyrics
Ee Bwana Mungu ee Bwana…
Ee Bwana Mungu…. (ee Bwana) Mungu
Ee Mungu uturekebishe na utuangazishe
Na utuangazishe na utuangazishe uso wako.- Wewe uchungaye, uchungaye Israeli,
Utie nuru uziamshe nguvu zako - Wewe uketiye juu ya makerubi
Utie nuru uziamshe nguvu zako - Ewe Mwenyezi Mungu utuangalie
Kwa wema wako nasi tutaokoka - Na mkono wako, na uwe juu yake
Huo mzabibu ulopandwa kwa mkono wako.