Ee Maria

Ee Maria
Performed by-
CategoryBikira Maria
Views8,593

Ee Maria Lyrics

  1. Ee Maria, Mama wa Mungu,
    utuombee sisi Wanao

  2. Mwenye heri, wewe Bikira Maria,
    tunakusalimu, Maria.
  3. Uliyemchukua aliyekuumba,
    tunakusalimu, Maria.
  4. Umetuzalia Mkombozi wetu,
    tunakusalimu, Maria.
  5. Uliyekingiwa dhambi ya asili,
    tunakusalimu, Maria.
  6. Uliyepalizwa mbinguni kwa Mungu,
    tunakusalimu, Maria.
  7. Mama wa Kanisa Mama yetu mwema,
    tunakusalimu, Maria.
  8. Wastahili sifa za vizazi vyote,
    tunakusalimu, Maria.