Ee Mungu Mfalme
Ee Mungu Mfalme | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 3,550 |
Ee Mungu Mfalme Lyrics
[s] Ee Mungu mfalme Bwana mimi nitakutukuza
[w] Nitalihimidi jina lako Bwana *2
{ Kila siku nitakuhimidi ewe Mungu wangu
nitalitukuza jina lako milel } *2- Bwana ana fadhili, ni mwingi wa rehema,
Si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema
Na rehema zake ni kwa viumbe vyote - Viumbe vyote vyako Mungu vitakusujudu
Na wacha Mungu wako watakuhidi
Wataunena utukufu wako na kuhadithia uweza wako.