Ee Mungu Mwenye Rehema
| Ee Mungu Mwenye Rehema |
|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 4,678 |
Ee Mungu Mwenye Rehema Lyrics
Ee Mungu Mungu mwenye rehema utuinuliye nuru
ya uso wako Mungu mwenye rehema, ee Bwana
Bwana Mungu, Sisi utuinuliye nuru ya uso wako
- Ee Mungu wa haki uitike yangu nikuitapo
Umenifanyizia nafasi wakati wa shida
- Jueni ya kuwa Bwana ameteua mtauwa
Bwana atasikia nimwitapo mimi
- Wengi husema nani atakayetuonyesha mema
Bwana utuinulie nuru ya uso wako
- Katika amani najilaza na kupata usingizi
Ndiwe unijaliaye kukaa salama