Ee Mungu Nitakutafuta
| Ee Mungu Nitakutafuta | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 5,662 |
Ee Mungu Nitakutafuta Lyrics
Ee Mungu Mungu wangu nitakutafuta mapema
Nafsi yangu nafsi yangu *2
Nafsi yangu yakuonea kiu ee Mungu wangu- Mwili wangu wakuonea shauku
Katika nchi kame isiyo na maji - Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu
Nizione na nguvu zako na utukufu - Kwa maana fadhili zako, Fadhili zako ni njema
Midomo yangu itakusifu Mungu wangu