Ee Mwanakondoo
| Ee Mwanakondoo | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 5,941 |
Ee Mwanakondoo Lyrics
- Ee Mwana kondoo wa Mungu
Uondoaye dhambi za dunia
Ee mwana ee ee mwana ee wa Mungu
Uondoaye dhambi za dunia utuhurumie
Ee mwana kondoo wa Mungu }*2 - Utujalie amani utujalie amani
utujalie amani utujalie ee Mwana
Ee Mwana utujalie amani
Utujalie amani