Ekaristia ni Chakula

Ekaristia ni Chakula
Performed byMoyo Safi (Unga Ltd)
AlbumNikupe Nini Mungu Wangu
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerE. I. Kalluh
VideoWatch on YouTube
Views24,765

Ekaristia ni Chakula Lyrics

  1. { Ekaristia ni chakula, chakula cha uzima wa milele
    Ee mkate wa Mbinguni, shibisha roho zetu } *2

  2. Yesu Mwokozi kashuka chini kwetu, tukampokee
  3. Maumbo haya ni mwili wake Yesu, twakiri sote
  4. Yesu mpenzi pokea moyo wangu, na mimi wako
  5. Ninakupenda kuliko nafsi yangu, Mwokozi wangu
  6. Nakuabudu ee Mungu wangu mwenye, heri ya mbingu