Enyi Mataifa

Enyi Mataifa
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMbinguni Kutakuwa Raha (Vol 4)
CategoryZaburi
ComposerJ. C. Shomaly
Views4,002

Enyi Mataifa Lyrics

  1. Enyi mataifa, Mshukuruni Mungu wa Miungu (Mungu),
    Mshukuruni Mungu kwa kuwa yeye ni mwema kwetu
    Kwa furaha kuu -
    Pigeni ngoma kinanda na kinubi nalo zeze
    Ni shangwe leo -
    Watu wote waimbe kwa furaha na kucheza -
    Mmh mmh mshukuruni Mungu wa miungu mshukuruni
    Kaweza Bwana -
    Sisi nasi twaimba aleluya aleluya

  2. Fadhili za Bwana zinadumu kwao wamchao,
    Fadhili za Bwana zinadumu kwao wamchao
  3. Na rehema zake kwetu sisi kweli za milele,
    Na uaminifu wake wadumu milele yote
  4. Mwimbieni Bwana Mungu yeye astahili sifa,
    Na fadhili zake Bwana Mungu yeye za milele.