Enyi Nchi Yote
Enyi Nchi Yote | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Mbinguni Kutakuwa Raha (Vol 4) |
Category | Zaburi |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 4,276 |
Enyi Nchi Yote Lyrics
{ Enyi nchi yote mpigieni Mungu vigelegele
Msifuni amewakweza maskini } *2
Bwa-na akalikomboa taifa lake
Watu wote wakaokolewa
Ndege angani warukaruka
Miti milima yachezacheza
Pigieni Mungu vigelegele enyi wenye haki
Kusifu kwawapasa wanyofu wa moyo *2- Bwana amelikomboa taifa lake lote,
kalikomboa taifa lake - Nchi yote nayo sasa ishangilie Bwana,
kalikomboa taifa lake - Enyi viumbe wa Bwana msifuni Bwana Mungu,
kalikomboa taifa lake.