Ewe Bwana Utege Sikio
| Ewe Bwana Utege Sikio | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 13,551 |
Ewe Bwana Utege Sikio Lyrics
- Ewe Bwana utege sikio lako unisikili- Unisikilize
Ee eeh Ee Bwana wangu
Yesu Sikia sauti yangu
Sauti ya dua langu sauti ya dua langu
Unisikili unisikilize - Katikati ya miungu hakuna mwingine kama we-
Mungu kama wewe - Malaika wanaimba na kulisifu jina lako Ba-
Jina lako Baba