Ewe Bwana Utege Sikio Lyrics

EWE BWANA UTEGE SIKIO

 1. Ewe Bwana utege sikio lako unisikili- Unisikilize

  Ee eeh Ee Bwana wangu
  Yesu Sikia sauti yangu
  Sauti ya dua langu sauti ya dua langu
  Unisikili unisikilize

 2. Katikati ya miungu hakuna mwingine kama we-
  Mungu kama wewe
 3. Malaika wanaimba na kulisifu jina lako Ba-
  Jina lako Baba
Ewe Bwana Utege Sikio
CATEGORYZaburi
 • Comments