Mpanda Farasi
| Mpanda Farasi | |
|---|---|
| Performed by | St. Benedict Rapogi |
| Album | Huyu Ni Yesu (Vol 1) |
| Category | Zaburi |
| Views | 4,648 |
Mpanda Farasi Lyrics
Nitamwimbia Bwana wangu, ametukuka sana,
Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini *2- Bwana ndiye nguvu yangu, pia wimbo wangu,
Amekuwa wokovu wangu wa hakika, nasema - Mwanafarasi naye na farasi wake
Bwana amewatupa kwenye bahari, - Yeye ndiye Mungu wangu nitamsifu daima
Mungu wa baba yangu nitamtukuza, - Gari lake Farao na jeshi lake
Bwana amewatupa kwenye bahari, - Na hakika yote, wateule wote
Wamezama katika bahari ya Shamu,