Furahini Katika Mji
Furahini Katika Mji | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Noeli (Christmas Carols) |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 4,578 |
Furahini Katika Mji Lyrics
Furahini katika mji wa Daudi amezaliwa mtoto *2
Tumepewa mtoto mwanaume
mwenye ufalme mabegani pake
Enyi mataifa njooni tufurahi tumshangilie Bwana
Tumshangilie Bwana Yesu kazaliwa *2- Kwa maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
tumshangile (Bwana)
Tumepewa mtoto mwana wake Mungu
kwetu kazaliwa, tumshangilie (Bwana) - Na uwezo wa kifalme utakuwa begani mwake,
tumshangilie (Bwana)
Ataitwa jina lake mshauri wa ajabu,
tumshangilie (Bwana)