Hakuna Aliye Sawa

Hakuna Aliye Sawa
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerBasil Lukando
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania

Hakuna Aliye Sawa Lyrics


Hakuna aliye sawa naye Mungu
Aketiye mahali patakatifu pake
Anayetutendea mengi makuu ya ajabu
Basi yatupasa sote tumshukuru *21. Ardhi yarutubishwa na mvua zinyeshazo-
Kazi hiyo ni ya nani?
Angalieni mazao yastawi mashambani-
Kazi hiyo ni ya nani?

2. Watoto wanazaliwa na kukua nazo afya-
Kazi hiyo ni ya nani
Wazazi wapata riziki kuwahudumia-
Kazi hiyo ni ya nani

3. Safari zawa salama bila misukasuko-
Kazi hiyo ni ya nani
Tumshukuru kwa kuwa yeye ndiye mwenye haki-
Mapenzi yake yatimizwe

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442