Harusi Njema

Harusi Njema
Performed by-
CategoryHarusi
Views4,513

Harusi Njema Lyrics

 • Arusi njema wakristu
  Ni arusi iliyoandaliwa mbele ya kanisa *2
 • (Alto) Akristu (Ten) Njooni [w:] Akristu
 • Njooni tushangilie pamoja
  Njooni tushangilie leo ni furaha
 • Tukiwaona na
  Wakipatana leo kwetu ni furaha
  na
  Wakipatana leo kwetu ni furaha
 • Wakipatana leo kwetu ni shangwe