- Arusi njema wakristu
Ni arusi iliyoandaliwa mbele ya kanisa *2
- (Alto) Akristu (Ten) Njooni [w:] Akristu
- Njooni tushangilie pamoja
Njooni tushangilie leo ni furaha
- Tukiwaona na
Wakipatana leo kwetu ni furaha
na
Wakipatana leo kwetu ni furaha
- Wakipatana leo kwetu ni shangwe
|
Harusi Njema |
CHOIR | |
CATEGORY | Harusi |
|
|