Harusi Siri Kubwa
Harusi Siri Kubwa | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Harusi |
Views | 4,220 |
Harusi Siri Kubwa Lyrics
- Harusi siri kubwa kweli kwa Mungu
Wawili kuwa kitu kimoja ni upendoHaya shangilieni tuwaimbieni
Sote tuwaombeeni waishi vyema - Ahadi kwa Mungu mmetoa timizeni
Upendo uwe msingi imara - Baraka zake Mungu ziwe pamoja nanyi
Furaha mpende watoto Mungu awajalie - Bwana arusi heko kwa bibi arusi
Mungu awajalie awajaze neema