Heri Amchaye Bwana
| Heri Amchaye Bwana | |
|---|---|
| Alt Title | Heri Mtu Yule |
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Ikatetemeka Nchi (Vol 3) |
| Category | Zaburi |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 6,316 |
Heri Amchaye Bwana Lyrics
{ Heri mtu yule, amchaye Bwana,
Amchaye Bwana, aendaye katika njia zake } *2- Taabu ya mikono yako utaila,
Utakuwa mwenye heri na baraka - Mkeo atakuwa kama mzabibu,
Uzaao nyumbani mwa-ko - Wanao kama miche ya mizeituni,
Wakizunguka meza yako meza yako - Hakika amebariki-wa hivyo
Mtu yule amchaye Bwana Bwana Mungu