Heri Ninyi
Heri Ninyi | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Tazameni Miujiza (Vol 2) |
Category | Zaburi |
Composer | A. O. Dimoso |
Views | 2,721 |
Heri Ninyi Lyrics
{ Heri ninyi watakapo washtumu
Na kuwanenea kila neno baya } *2
{ Lakini furahini sana (sana) na kushangilia
Kwa kuwa dhawabu yenu kubwa Mbinguni } *2- Watawasaliti ninyi ili mpate dhiki
Watawakamata ninyi na kuwapiga sana
Kwa ajili ya jina langu - Watawazushia ninyi maneno ya uwongo
Watawahukumu ninyi jinsi watavyotaka
Kwa ajili ya jina langu - Watawafuata ninyi ili wawasakame
Kwa maana mtasifiwa kwa kila mfanyacho
Kwa ajili ya jina langu