Hii Ndiyo Siku
| Hii Ndiyo Siku | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Entrance / Mwanzo | 
| Views | 14,526 | 
Hii Ndiyo Siku Lyrics
- Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana
 Tuishangilie na kufurahia nayo
- Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana
 Tuishangilie na kufurahia nayo
- Mkono wa kuume umetenda makuu
 Mkono wa kuume imenisimamia
- Sitakufa moyo bali nitaishi mzima
 Nitasimulia matendo yake Bwana
- Bwana nguvu yangu na pia wimbo wangu
 Yeye amekuwa heri wokovu wetu
- Tumshukuru Bwana kwa kuwa yu mwema
 Na fadhili zake zinadumu milele
- Neno hili zuri limetoka kwa Bwana
 Nalo ni uzima sana maishani mwetu
 
  
         
                            