Hiki Ndicho Chakula Bora
Hiki Ndicho Chakula Bora | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Milele Milele Msifuni (Vol 1) |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | Deo Kalolela |
Views | 8,104 |
Hiki Ndicho Chakula Bora Lyrics
{ Hiki ndicho chakula bora kwa wanyofu wa moyo
Wote wenye mioyo safi Bwana awaalika } *2
{ /s/ a/t/b/
Haya njoni wote mezani kwa chakula bora cha uzima
Haya njoni wote mezani kwa chakula bora
Haya njoni kwa chakula bora, cha uzima
Wana heri wale wote, wanaokipokea } *2- Kwa upendo Bwana Yesu amejitoa kama chakula
Bwana akajitoa, apate kuziokoa roho zetu. - Njooni wote wenye kiu ya kupokea wokovu wake
Njooni maskini, njoni viwete vipofu na wagonjwa - Tule tunywe siku zote kwa ukombozi wa roho zetu
Haya njoni wote, mezani kwa Bwana kwa chakula bora