Hiki ni chakula
Hiki ni chakula | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 5,764 |
Hiki ni chakula Lyrics
Hiki ni chakula cha uzima (cha uzima)
Njooni tupokee *2- Bwana ni chakula kweli cha uzima,
Bwana ni kinywaji kweli - Bwana ndiye shime yangu na uzima
Kweli ni msaada wangu - Bwana ananifundisha njia zake kweli
Ni mwalimu wangu - Bwana ananituliza siku zote,
Yeye ni faraja yangu - Bwana ananishibisha siku zote,
yeye ni chakula changu - Bwana anaburudisha kweli kweli,
Yeye ni kinywaji changu