Hiki Ni Chakula
Hiki Ni Chakula | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Milele Milele Msifuni (Vol 1) |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | Sumba Wanga |
Views | 13,438 |
Hiki Ni Chakula Lyrics
{ Hiki ni chakula kilichoshuka kutoka mbinguni,
asema Bwana } *2
{ /b/ Siyo kama ile mana ya jangwani ambayo,
Baba zenu, baba zenu walikula
Baba zenu jangwani nao wakafa
/t/ Siyo kama ile mana ya jangwani ambayo, Baba zenu walikula
Baba zenu jangwani nao wakafa
/a/ Siyo kama ile mana ya jangwani ambayo walikula
Baba zenu jangwani nao wakafa
/s/ Siyo kama ile mana ya jangwani walikula
Baba zenu jangwani nao wakafa } *2- Chakula hiki kweli ni chakula chenye uzima, asema Bwana,
Anayekula mwili na kuinywa hii damu, anao uzima - Twendeni wote tule mwili wake na damu yake, kwa Bwana Yesu
Anatualika sote kwa karamu yake kweli, tukale chakula - Songea ndugu wewe ni mwenye haki ya kujongea meza ya Bwana
Anakuita ule mwili wake na damu yake, upate uzima