Hili Ndilo Neno
Hili Ndilo Neno | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 4,376 |
Hili Ndilo Neno Lyrics
- Hili ndilo neno, hili ndilo neno alilotuachia
Bwana Yesu KristuTafuta utapata - Yesu anasema
Msamaha ukiomba - Nawe utapata
Nipe Bibilia, nipe Bibilia, aliyotuachia
Nipe Bibilia