Hongera Hongera
Hongera Hongera | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Harusi |
Views | 4,576 |
Hongera Hongera Lyrics
{ Hongera hongera
Bwana harusi hongera na bibi harusi } *2
Kwa kujongea altare yake Bwana
Upendo wenu mmeudhihirisha
Muishi kwa amani siku zote, katika nyumba yenu.
Mungu awabariki awalinde maisha yenu yote- Tunawatakia heri, salama na amani
Shikeni agano lenu, kwa uaminifu - Mungu awajalieni, baraka na rehema
Wajalieni watoto walo watakatifu - Leo mmedhihirisha, upendo thabiti
Alounganisha Mungu, yasitenganishwe.