Hubirini Hubirini
Hubirini Hubirini | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Mshike Mshike (Vol 5) |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 4,429 |
Hubirini Hubirini Lyrics
{ Hubirini, hubirini,
Hubirini kwa sauti ya kuimba, hubirini nyote
Tangazeni haya yatamkeni mpaka mwisho wa dunia } *2
Semeni Bwana, amelikomboa, amelikomboa, amelikomboa
Taifa taifa, taifa taifa, taifa lake - *2- [ s ] Pigieni Mungu vigelegele enyi wenye haki
Kusifu kunawapasa wanyofu, wanyofu wa moyo - Kwa kuwa Bwana ni mkuu na mwenye kusifiwa
Hubirini hubirini hubirini kwa sauti ya kuimba - Zitajeni sifa zake ametukuka Bwana Mungu
Hubirini hubirini hubirini kwa sauti ya kuimba