Hubirini Kwa Sauti
Hubirini Kwa Sauti | |
---|---|
Performed by | St. Augustine JKUAT |
Album | Mbawa za Asubuhi |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Composer | Merriack Kavakule |
Views | 6,086 |
Hubirini Kwa Sauti Lyrics
Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya
(haya) Yatamkeni mpaka mwisho wa dunia
(Semeni) Bwana amelikomboa taifa lake *2
Â- Mpigie Mungu kelele za shangwe nchi yote
Imbeni utukufu wa jina lake
 2. Mwambieni Mungu matendo yatisha kama nini
Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako
 3. Adui zako watakuja kunyenyekea kwako
Kwa kuwa wewe ndiwe uliye Mungu
 4. Enyi mataifa njooni mtukuzeni Bwana
Zitangazeni sifa za Mungu wetu