Hubirini Neno Lake
Hubirini Neno Lake | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Ikatetemeka Nchi (Vol 3) |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 5,551 |
Hubirini Neno Lake Lyrics
Hubirini neno lake Mungu kwa mataifa yote
Tangazeni ukuu wa Mungu kwa viumbe vyote
{ Kwa kuwa Bwana - ni mwema
Ni mwema rehema zake hudumu,
Vizazi hata vizazi, vizazi kwa wamchao } *2- Mpigieni Mungu vigelegele enyi wenye haki,
Kusifu kwawapasa, wanyofu wa moyo - Semeni kwa shangwe, Bwana amelikomboa taifa lake`,
Bwana amelikomboa taifa lake