Huko Njiani Maria
| Huko Njiani Maria | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Views | 3,887 |
Huko Njiani Maria Lyrics
- Huko njiani Maria waonaje hali ya mwanao
Ni damu hata pia na vidonda
Machozi machozi, macho-zi yamfumba macho *2
Ee maria uliyepata uchungu
kwa mateso uliyoona kwa mwanao
Maria mama nipe uvumilivu
niwapende hata pia adui zangu - Anapokutana nawe ni uchungu unavyotazama
- Dhambi zetu wanadamu zamtonesha uchungu twaona