Huruma Bwana

Huruma Bwana
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
Composer(traditional)

Huruma Bwana Lyrics

Huruma Bwana, huruma kwa watu wako
Uliowakomboa kwa damu yako takatifu *2

 1. Ee Mungu unirehemu,
  Sawa sawa na fadhili zako.
 2. Kiasi cha wingi wa rehema zako,
  Uyafute makosa yangu.
 3. Unioshe kabisa na uovu wangu,
  Unitakase dhambi zangu.
 4. Ee Mungu uniumbie moyo safi,
  Uifanye upya roho uliyotulia ndani yangu.
 5. Usinitenge na uso wako,
  Wala Roho wako Mtakatifu usiniondolee.