Huyu ndiye Emmanueli

Huyu ndiye Emmanueli
Performed by-
CategoryNoeli (Christmas Carols)
Views3,112

Huyu ndiye Emmanueli Lyrics

  1. [b:] Huyu ndiye
    [w:] Emmanueli yaani Mungu pamoja nasi
    [b:] Aliyetajwa
    [w:] Na malaika kwamba atakuwa mkombozi
    Tufurahi aleluya tufurahi aleluya
    Mungu mwana leo kafufuka

  2. Amefufuka mkombozi wetu,
    tufurahi tuimbe aleluya
  3. Kaburini hayumo ni mzima,
    tufurahi tuimbe aleluya
  4. Ukombozi sassa umetimia,
    tufurahi tuimbe aleluya