Iende Mbele Injili Oh
Iende Mbele Injili Oh | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 21,928 |
Iende Mbele Injili Oh Lyrics
- Iende mbele Injili oh -Iende mbele
Iende mbele injili ya Yesu -iende mbele{ Ndiyo maana -
Ndiyo maana tunasema iende mbele } *2 - Iende wapi injili oh . . .
- Inachoma injili oh . . .
- Inakata injili oh . . .
- Moto moto injili oh . . .