Ikatetemeka Nchi
| Ikatetemeka Nchi | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) | 
| Album | Ikatetemeka Nchi (Vol 3) | 
| Category | Pasaka (Easter) | 
| Composer | J. C. Shomaly | 
| Views | 25,166 | 
Ikatetemeka Nchi Lyrics
- (Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka,
 (Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka )*2
 Na tazama akashuka Bwana,
 Mfalme wa Mbingu na dunia,
 Mwenye fimbo mkononi mwake,
 Ishara yake ni kuchunga kondoo
 (Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo
 Matunda ni amani, ni amani )*2
- Tumshanglie kuhani, Kristu Bwana Mwokozi wetu
 Kashinda dhambi na mauti, tuimbe aleluya
- Jiwe walilolikataa, waashi limekuwa,
 Limekuwa jiwe kuu, tena la pembeni
- Ni ushindi kubwa mno, ushindi
 ushindi wa pekee, tuimbe aleluya
 
  
         
                            