Ikatetemeka Nchi

Ikatetemeka Nchi
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumIkatetemeka Nchi (Vol 3)
CategoryPasaka (Easter)
ComposerJ. C. Shomaly

Ikatetemeka Nchi Lyrics

 1. (Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka,
  (Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka )*2
  Na tazama akashuka Bwana,
  Mfalme wa Mbingu na dunia,
  Mwenye fimbo mkononi mwake,
  Ishara yake ni kuchunga kondoo
  (Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo
  Matunda ni amani, ni amani )*2

 2. Tumshanglie kuhani, Kristu Bwana Mwokozi wetu
  Kashinda dhambi na mauti, tuimbe aleluya
 3. Jiwe walilolikataa, waashi limekuwa,
  Limekuwa jiwe kuu, tena la pembeni
 4. Ni ushindi kubwa mno, ushindi
  ushindi wa pekee, tuimbe aleluya