Imbeni Sifa Zake
Imbeni Sifa Zake | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Ikatetemeka Nchi (Vol 3) |
Category | Zaburi |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 5,567 |
Imbeni Sifa Zake Lyrics
{ Imbeni sifa zake Bwana, msifuni Bwana msifuni
Hubirini, hubirini, hubirini,
Hubirini matendo yake kwa kila kiumbe } *2
Tangazeni matendo ya Bwana
kuto -ka ma -sha -ri -ki na magharibi
Se -me -ni Bwana ni mkuu sana sana sana
{ Tukuzeni sifa za Bwana (tukuzeni sifa za Bwana)
Fikirini matendo ya Bwana,
Fikirini matendo yake yanatisha kama nini } *2- Waambieni watu, matendo ya Bwana,
Yanatisha sana, yatisha sana - Zisemeni sifa, sifa zake Bwana,
Hubirini Neno, la Mungu wetu - Bwana ni mkuu, mwenye kusifiwa,
Atukuzwe Mungu, milele yote