Inapendeza Kuingia
Inapendeza Kuingia Lyrics
- { Kunapendeza kutazama kwake Bwana
Nyumba yake Bwana inapendeza } *2
{ Inapendeza (kweli) inapendeza (sana)
Inapendeza inafurahisha moyo
Nyumba ya Bwana inapendeza } *2
- Kuna furaha kuingia kwake Bwana
Nyumba yake Bwana ina furaha
{ Ina furaha (kweli) ina furaha (kubwa)
Ina furaha ni furaha ya Mbinguni
Nyumba ya Bwana ina furaha. } *2
- Kuna baraka kuabudu kwake Bwana
Nyumba yake Bwana ina baraka
{ Ina baraka (kweli) ina baraka (nyingi)
Ina baraka inayo baraka tele
Nyumba ya Bwana ina Baraka } *2
- Kuna chakula kutulia kwake Bwana
Nyumba yake Bwana ina chakula
{ Ina chakula (kweli) ina chakula (kingi)
Ina chakula ni chakula cha roho zetu
Nyumba ya Bwana ina chakula. } *2
- Kuna uzima kusujudu kwake Bwana
Nyumba yake Bwana ina uzima
{ Ina uzima (kweli) ina uzima (tele)
Ina uzima ni uzima wa milele
Nyumba ya Bwana ina uzima } *2