Inasonga Mbele
| Inasonga Mbele | |
|---|---|
| Performed by | St. Gregory Makupa |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Views | 12,093 |
Inasonga Mbele Lyrics
- Inasonga mbele injili yetu ulimwenguni kote -
Neno laenda mbele *2Injili - (iende mbele Injili yake Yesu *2) *2
{Inasonga mbele - Injili *2 yake Yesu *2} - Inasonga mbele injili yetu katika mataifa -
- Inasonga mbele injili yetu katika makabila -
- Inasonga mbele Injili yetu katika jumuiya -