Ingekuwa Heri Msikie
| Ingekuwa Heri Msikie | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Views | 10,997 |
Ingekuwa Heri Msikie Lyrics
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake
Msifanye migumu mioyo yenu- Njooni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe
Mwamba wa wokovu wetu,
Tuje mbele zake kwa shukrani - Njooni tumwabudu Bwana tupige magoti
Mbele zake Mungu wetu,
Aliyetuumba watu wote