Jina Lako (Misa Fadhili)
Jina Lako (Misa Fadhili) | |
---|---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Views | 7,490 |
Jina Lako (Misa Fadhili) Lyrics
Jina Lako Baba litukuzwe
Utawale petu milele yote *2
Baba yetu mwema uliye mbinguni
Jina lako Baba litukuzwe- Na ufalme wako uje hapa kwetu
Na mapenzi yako yatimilike - Tupe leo mkate wa kila siku
Tupe leo mkate wa kila siku - Na utusamehe makosa yetu
Kama tufanyavyo kwa ndugu zetu - Situtie Baba kishawishini
Bali maovuni utuopoe - ***
- Ufalme na nguvu na utukufu
Vyote vyako Baba hata milele