Jinsi Lilivyo Tukufu
Jinsi Lilivyo Tukufu | |
---|---|
Performed by | Holy Trinity Kariobangi |
Album | Maisha Yangu |
Category | Zaburi |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 3,996 |
Jinsi Lilivyo Tukufu Lyrics
NIKIZIANGALIA MBINGU
{ Wewe Bwana Mungu wetu
Jinsi lilivyo tukufu (jina)
Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote } * 2
Nikiziangalia mbingu ni kazi yako Bwana
Mwezi pia na nyota ulizoratibisha wewe
Naona ajabu ajabu ajabu *2- Naye mtu ni nini Bwana, hata umkumbuke
Na binadamu hata yeye umwangazie - Kondoo nao ng'ombe pia wanyama wa kondeni
Ndege pia samaki ndani ya bahari - Umemfanya punde punde mdogo kuliko Mungu
Umemvika taji taji ya heshima