Jipeni Moyo
Jipeni Moyo | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Mshike Mshike (Vol 5) |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 5,098 |
Jipeni Moyo Lyrics
- Waambieni wenye moyo safi, jipeni moyo
Waambieni wenye moyo safi, jipeni moyo
{ Tazama Mungu wenu anakuja kuwaokoa,
Naye atawasikizisha ninyi sauti yake katika
/s/ Furaha ya mioyo yenu *2
Furaha ya mioyo yenu, mioyo yenu
/a/ Furaha furaha, furaha ya mioyo
Furaha ya mioyo, mioyo yenu
/t/ Furaha, furaha, furaha ya mioyo yenu
Furaha ya mioyo yenu
/b/ Furaha, furaha, furaha, furaha
Furaha ya mioyo mioyo yenu } *2 - Na waambieni (waambieni) wote jipeni moyo (jipeni moyo),
Mungu wenu anakuja kuwaokoa - Machozi yenu (na kilio), pia ni furaha yenu (hakika),
Kupanda ndio machozi, mavuno furaha - Nyenyekeeni (nyenyekea) wote kiti chake Mungu (cha Mungu),
Mpate uzima ule utokao kwake