Jipeni Moyo

Jipeni Moyo
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMshike Mshike (Vol 5)
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerJ. C. Shomaly
Musical Notes
Time Signature2
4
Music KeyA Major

Jipeni Moyo Lyrics

Waambieni wenye moyo safi, jipeni moyo
Waambieni wenye moyo safi, jipeni moyo

{ Tazama Mungu wenu anakuja kuwaokoa,
Naye atawasikizisha ninyi sauti yake katika

/s/ Furaha ya mioyo yenu *2
Furaha ya mioyo yenu, mioyo yenu

/a/ Furaha furaha, furaha ya mioyo
Furaha ya mioyo, mioyo yenu
/t/ Furaha, furaha, furaha ya mioyo yenu
Furaha ya mioyo yenu
/b/ Furaha, furaha, furaha, furaha
Furaha ya mioyo mioyo yenu } *2

  1. Na waambieni (waambieni) wote jipeni moyo (jipeni moyo),
    Mungu wenu anakuja kuwaokoa
  2. Machozi yenu (na kilio), pia ni furaha yenu (hakika),
    Kupanda ndio machozi, mavuno furaha
  3. Nyenyekeeni (nyenyekea) wote kiti chake Mungu (cha Mungu),
    Mpate uzima ule utokao kwake