Jogoo wa Shamba
Jogoo wa Shamba |
---|
Performed by | - |
Category | Harusi |
Views | 4,235 |
Jogoo wa Shamba Lyrics
Jogoo wa shamba awika sote tuitikie mwito
Arusi ni wito, wakwaya twaimba *2
[b:] Imba imba imba imba asema Bwana
[w:] Arusi ni wito twimbe kwa shangwe tukisifu
[t:] {Sisi sote tuusifu wito..
[w:] Wito ni wa Mungu tujitimu} *2
- [b:] Asema
[a:] Arusi ya kwanza ni yake
[t:] Shambani Edeni
[w:] Kawashikanisha Adam na Hawa
Aawa-shikanisha Adam na Hawa
- {[b:] Tuyakumbuke aliyoyasema
[t] Shambani Edeni na arusi Kena, [a:] Anena
[w:] Arusi ni wito iheshimiwe na watu wote *2} *2