Jua Likichomoza
Jua Likichomoza | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Habari Tuliyoleta (Vol 6) |
Category | General |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 4,133 |
Jua Likichomoza Lyrics
Jua likichomoza mji wote huu na! ta! za! ma
Naona msafara, msafara,
Pilika pilika nyingi kila mtu ataka ku! pa! ta! riziki
Inachanganya, inachanganya,
Magari na watu katika mji mzima
Najiulizauliza Mbinguni tutakuwa wangapi
Kama hapa tuko hivi dunia yote tutakuwa wangapi?
([a] Swali gumu sana)
Lo kweli Mungu wetu yeye ni mwenye uwezo
{(Na tena) Gari lako liwe sala,
Njia yako iwe Yesu, nyumbani kuwe mbinguni
Kwenye makao yake Mwenyezi Mungu,
Sheria kanuni zake Mungu hutumika
kwa wanaompenda }*2- Yeye ni mwenye uwezo -
ukitubu utamwona Mungu
Tajiri au masikini - ukitubu utamwona Mungu - Yeye hana msafara -
Hata hana askari - - Mwizi acha kuiba -
Mwenye fitina uache -