Jua Likichomoza

Jua Likichomoza
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumHabari Tuliyoleta (Vol 6)
CategoryGeneral
ComposerJ. C. Shomaly

Jua Likichomoza Lyrics

Jua likichomoza mji wote huu na! ta! za! ma
Naona msafara, msafara,
Pilika pilika nyingi kila mtu ataka ku! pa! ta! riziki
Inachanganya, inachanganya,
Magari na watu katika mji mzima

Najiulizauliza Mbinguni tutakuwa wangapi
Kama hapa tuko hivi dunia yote tutakuwa wangapi?
([a] Swali gumu sana)
Lo kweli Mungu wetu yeye ni mwenye uwezo
{(Na tena) Gari lako liwe sala,
Njia yako iwe Yesu, nyumbani kuwe mbinguni
Kwenye makao yake Mwenyezi Mungu,
Sheria kanuni zake Mungu hutumika
kwa wanaompenda }*2

 1. Yeye ni mwenye uwezo -
  ukitubu utamwona Mungu
  Tajiri au masikini - ukitubu utamwona Mungu
 2. Yeye hana msafara -
  Hata hana askari -
 3. Mwizi acha kuiba -
  Mwenye fitina uache -

Favorite Catholic Skiza Tunes