Kando Ya Mito
| Kando Ya Mito | |
|---|---|
| Performed by | St. Charles Lwanga Kisii |
| Album | Kando ya Mito |
| Category | Zaburi |
| Views | 20,637 |
Kando Ya Mito Lyrics
Kando ya mito ya Babeli, ndipo tulipoketi
Tukalia tulipoikumbuka Sayuni
{(Tukalia sana) tukalia tulipoikumbuka Sayuni} *2- Katika miti iliyo katikati yake,
Tulivitundika vinubi vyetu - Maana hao waliotuchukua mateka,
Nao walitaka tuwaimbie - Tuuimbeje wimbo wa Bwana ugenini,
Mkono wa kuume nao usahau