Kanisa La Bwana

Kanisa La Bwana
Performed by-
CategoryFaith
Composer(traditional)
Views5,362

Kanisa La Bwana Lyrics

  1. Kanisa la Bwana litasimama wakati wote wa shindano

    Kwa furaha, kwa furaha tutafurahi
    Kwenda mbinguni, tukila matunda ya uzima

  2. Ndiyo sababu Mwokozi alikuja kutudumisha la torati
  3. Musa alitumwa kule Sinai kutuletea amri kumi
  4. Ukivunja moja, ya zile kumi umeshavunja zote kumi