Karamu Imeandaliwa
Karamu Imeandaliwa | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 3,955 |
Karamu Imeandaliwa Lyrics
[t|b] Karamu karamu karamu (njoni)
Karamu imeandaliwa, Waitwa wanyofu wa moyo,
karibuni nyote njooni, Njooni wote tuitikie
naam naam tukampokee Yesu Kristu *2- Ndugu yangu jirani njooni kwa Bwana Mungu
Kama una dhambi nenda ukaziungame
Karamu yake njoo njoo njoo - Jiulize una kizuizi gani wewe cha kukunyima
Wewe kwenda kwa Bwana Mungu ushiriki
Karamu yake njoo njoo njoo
[t|b] upendo wa Bwana Mungu katualika tumpokee